Ufafanuzi wa kiyoyozi katika Kiswahili

kiyoyozi

nominoPlural viyoyozi

  • 1

    mashine inayopoza hewa.

Matamshi

kiyoyozi

/kijOjOzi/