Ufafanuzi wa Kiyunani katika Kiswahili

Kiyunani

nomino

  • 1

    lugha ya zamani ya Wagiriki.

Matamshi

Kiyunani

/kijunani/