Ufafanuzi wa kizalia katika Kiswahili

kizalia

nominoPlural vizalia

  • 1

    hadhi, ugonjwa au ulemavu aupatao mtu kutokana na kurithi kwa wazazi.

  • 2

    alama anayozaliwa nayo mtu.

Matamshi

kizalia

/kizalija/