Ufafanuzi wa kizamani katika Kiswahili

kizamani

kielezi

  • 1

    neno lililotumika zamani lakini kwa wakati huu halitumiki.

Matamshi

kizamani

/kizamani/