nominoPlural vizazi
- 1
uwezo wa kuzaa.
Matamshi
kizazi
/kizazi/nominoPlural vizazi
- 1
kifukofuko ndani ya mwanamke ambamo mtoto hukua.
chango, uzazi
Matamshi
kizazi
/kizazi/nominoPlural vizazi
- 1
watu waliotokana na uzao mmoja.
fuko - 2
jumla ya watu walioishi katika muda mmoja wa historia.