Ufafanuzi wa kizelele katika Kiswahili

kizelele

nominoPlural vizelele

  • 1

    ndege jamii ya mbayuwayu lakini mdogo kidogo, ana rangi ya buluu iliyochanganyika na weusi mgongoni, rangi nyekundu kichwani na nyeupe na madoadoa meusi kifuani na mkia mrefu sana wenye panda.

    teleka

Matamshi

kizelele

/kizɛlɛlɛ/