Ufafanuzi wa kizibiti katika Kiswahili

kizibiti, ekzibiti

nominoPlural vizibiti

  • 1

    kitu kinachotolewa mahakamani ili kuthibitisha ushahidi katika kesi.

    bayana

Asili

Kng

Matamshi

kizibiti

/kizibiti/