Ufafanuzi wa kizibo katika Kiswahili

kizibo

nomino

  • 1

    kitu kinachotumika kufunika, kuzuia au kuziba kitu kingine k.v. tundu.

    ‘Kizibo cha chupa’
    hasho

Matamshi

kizibo

/kizibÉ”/