Ufafanuzi wa kizibuo katika Kiswahili

kizibuo

nomino

  • 1

    kifaa cha kufungulia vizibo vya chupa au kopo au kuzibua k.v. usaha.

Matamshi

kizibuo

/kizibuwO/