Ufafanuzi wa kizinda katika Kiswahili

kizinda

nominoPlural vizinda

  • 1

    kizuizi chembamba cha nyama kinachohifadhi kilango cha tupu ya mwanamke.

    ubikira

Matamshi

kizinda

/kizinda/