Ufafanuzi msingi wa kizio katika Kiswahili

: kizio1kizio2

kizio1

nominoPlural vizio

  • 1

    nusu ya kitu cha mviringo.

    ‘Kizio cha nazi’
    ‘Kizio cha chungwa’

Matamshi

kizio

/kizijO/

Ufafanuzi msingi wa kizio katika Kiswahili

: kizio1kizio2

kizio2

nominoPlural vizio

  • 1

    namba ambayo kwayo namba nyingine huhesabiwa k.m. 11 kizio cha 8 ni sawa na seti moja ya vitu 8 na mamoja moja, na kwa kizio cha 10 ni seti moja ya vitu 10 na mamoja moja.

Matamshi

kizio

/kizijO/