Ufafanuzi wa kizuka katika Kiswahili

kizuka

nominoPlural vizuka

  • 1

    mwanamke anayekaa eda kwa kufiwa na mumewe.

Matamshi

kizuka

/kizuka/