Ufafanuzi wa kizunguzungu katika Kiswahili

kizunguzungu

nominoPlural vizunguzungu

  • 1

    hali ya kujisikia kichwa kinazunguka; hali ya kujisikia kupepesuka na kutaka kuanguka.

    mbasua, kisunzi, kisulisuli, masua, gumbizi

Matamshi

kizunguzungu

/kizunguzungu/