Ufafanuzi wa klachi katika Kiswahili

klachi

nominoPlural klachi

  • 1

    kifaa cha kuachanisha injini na giaboksi ili kubadili gia kwa urahisi.

Asili

Kng

Matamshi

klachi

/klat∫i/