Ufafanuzi wa kliniki katika Kiswahili

kliniki

nominoPlural kliniki

  • 1

    kitengo cha hospitali kinachotoa tiba kwa wanawake wajawazito au wenye watoto wachanga.

  • 2

    kitengo cha hospitali kinachotoa tiba ya maradhi maalumu k.v. kifuakikuu, meno, macho au masikio.

Asili

Kng

Matamshi

kliniki

/kliniki/