Ufafanuzi msingi wa koa katika Kiswahili

: koa1koa2koa3koa4koa5koa6

koa1

nominoPlural makoa

 • 1

  kipambo cha shaba au fedha au madini cha kuvaa mkononi au shingoni.

Matamshi

koa

/kOwa/

Ufafanuzi msingi wa koa katika Kiswahili

: koa1koa2koa3koa4koa5koa6

koa2

nominoPlural makoa

Matamshi

koa

/kOwa/

Ufafanuzi msingi wa koa katika Kiswahili

: koa1koa2koa3koa4koa5koa6

koa3

nominoPlural makoa

 • 1

  gamba la chaza au konokono.

Matamshi

koa

/kOwa/

Ufafanuzi msingi wa koa katika Kiswahili

: koa1koa2koa3koa4koa5koa6

koa4

nominoPlural makoa

 • 1

  kijumba kilichoko mwisho wa uzio chenye kuzuia samaki wasitoke.

Matamshi

koa

/kOwa/

Ufafanuzi msingi wa koa katika Kiswahili

: koa1koa2koa3koa4koa5koa6

koa5

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~leza

 • 1

  pata makali.

  ‘Kisu hiki kinakoa’

Matamshi

koa

/kOwa/

Ufafanuzi msingi wa koa katika Kiswahili

: koa1koa2koa3koa4koa5koa6

koa6

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~leza

 • 1

  pendeza kwa chakula au mazungumzo.

Matamshi

koa

/kOwa/