nominoPlural makobe
- 1
mnyama kama kasa mwenye gamba gumu, shingo fupi na aendaye polepole.
furukombe
nominoPlural makobe
- 1
jina la utani katika kumdharau mtu anayeshindwa kufunga au asiyefunga katika mwezi wa Ramadhani.