Ufafanuzi wa kobeamiti katika Kiswahili

kobeamiti

nominoPlural makobeamiti

  • 1

    ndege kama mwewe mwenye rangi ya kijivu mwili mzima na kahawia pamoja na weupe mkiani.

Matamshi

kobeamiti

/kɔbɛjamiti/