Ufafanuzi msingi wa koche katika Kiswahili

: koche1koche2

koche1

nominoPlural makoche

  • 1

    tunda la jamii ya nazi lakini dogo lenye rangi nyekundu linapokomaa na lenye nyama iliyo na nyuzinyuzi na kifuu kilicho na kokwa nyeupe ndani.

    koma

Ufafanuzi msingi wa koche katika Kiswahili

: koche1koche2

koche2

nominoPlural makoche

  • 1

    mnyama wa baharini jamii ya kamba mwenye jozi tano za miguu mirefu na jozi mbili za papasi.

Matamshi

koche

/kOt∫ɛ/