Ufafanuzi wa kochi katika Kiswahili

kochi

nominoPlural makochi

  • 1

    kiti kirefu chenye springi au sponji ambacho kina sehemu ya kuegemea na kuwekea mikono.

    sofa

Asili

Kng

Matamshi

kochi

/kOt∫i/