Ufafanuzi wa kochokocho katika Kiswahili

kochokocho

kielezi

  • 1

    kwa wingi.

    ‘Miti imezaa kochokocho’
    tele

Matamshi

kochokocho

/kOt∫OkOt∫O/