Ufafanuzi wa kodiani katika Kiswahili

kodiani

nomino

  • 1

    kinanda kinachotoa sauti kwa kubonyeza na kuvuta kwa mikono.

    harimuni

Asili

Kng

Matamshi

kodiani

/kOdijani/