Ufafanuzi wa kodwa katika Kiswahili

kodwa, kode

nominoPlural kodwa

  • 1

    mchezo wa watoto wa kurusha vijiwe na kuvitoa mashimoni.

  • 2

    mawe madogo kama korosho au komwe yatumikayo katika mchezo wa watoto.

Matamshi

kodwa

/kOdwa/