Ufafanuzi wa koeka katika Kiswahili

koeka

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    shika kitu kwa kingoe.

    goya, ngoeka

Matamshi

koeka

/kOwɛka/