Ufafanuzi wa kohoa katika Kiswahili

kohoa

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~za

  • 1

    ondoa kohozi kifuani.

  • 2

    toa sauti kutoka kifuani kwa sababu ya ugonjwa au kupaliwa.

Matamshi

kohoa

/kOhOwa/