Ufafanuzi wa kohozi katika Kiswahili

kohozi

nomino

  • 1

    uchafu mzitomzito unaotoka kifuani mwa mtu na kupitia mdomoni muda anapokohoa.

    balaghamu, gole

Matamshi

kohozi

/kOhOzi/