Ufafanuzi wa kojoa katika Kiswahili

kojoa

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~za

  • 1

    toa mkojo; enda haja ndogo.

    tabawali, baua

Matamshi

kojoa

/kOʄOwa/