Ufafanuzi wa kojojo katika Kiswahili

kojojo

nomino

  • 1

    koa aishiye baharini.

    babaje, kojozi

Matamshi

kojojo

/kOʄOʄO/