Ufafanuzi wa koka moto katika Kiswahili

koka moto

nahau

  • 1

    tengeneza au panga rundo la kuni au majani na kuwasha moto.