Ufafanuzi wa kokoneo katika Kiswahili

kokoneo

nominoPlural makokoneo

  • 1

    kitu kitumikacho kujikokona k.m. karatasi, majani au jiwe.

Matamshi

kokoneo

/kOkOnɛwO/