Ufafanuzi wa kokonoa katika Kiswahili

kokonoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    ondoa kila kitu.

    ‘Kokonoa ukoko kwenye kijungu’
    kwangua

Matamshi

kokonoa

/kOkOnOwa/