Ufafanuzi wa kokonyaa katika Kiswahili

kokonyaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kaa hivyohivyo bila ya kukunjika au kukunjuka.

Matamshi

kokonyaa

/kOkO3a:/