Ufafanuzi wa kokoriko katika Kiswahili

kokoriko, kokoliko

nomino

  • 1

    sauti ya jogoo wakati wa kuwika.

Matamshi

kokoriko

/kOkOrikO/