Ufafanuzi wa kokota katika Kiswahili

kokota

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~eza, ~wa

  • 1

    vuta kitu k.v. gogo.

    kuruza, burura, buruta

Matamshi

kokota

/kOkOta/