Ufafanuzi wa kokotoa katika Kiswahili

kokotoa

kitenzi elekezi~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    piga hesabu kwa tarakimu.

Matamshi

kokotoa

/kOkOtOwa/