Ufafanuzi wa kola katika Kiswahili

kola

nominoPlural kola

  • 1

    mkunjo k.v. wa shati, gauni au koti unaozunguka shingo.

    ukosi

Asili

Kng

Matamshi

kola

/kɔla/