Ufafanuzi msingi wa kole katika Kiswahili

: kole1kole2

kole1

nomino

  • 1

    tawi linalochukua nazi, madafu, tende au chikichi.

Matamshi

kole

/kOlÉ›/

Ufafanuzi msingi wa kole katika Kiswahili

: kole1kole2

kole2

nomino

  • 1

    mtu aliyekamatwa kutokana na kosa alilofanya ndugu yake.

    ‘Shika kole’
    ‘Kamatwa kole’

Matamshi

kole

/kOlÉ›/