Ufafanuzi msingi wa koleo katika Kiswahili

: koleo1koleo2

koleo1

nominoPlural koleo

  • 1

    kifaa cha kushikia vitu kinachotumiwa na mganga au muuguzi hospitalini, mhunzi au seremala.

Matamshi

koleo

/kOlɛO/

Ufafanuzi msingi wa koleo katika Kiswahili

: koleo1koleo2

koleo2

nominoPlural koleo

  • 1

    chombo kinachotumiwa kuchotea k.v. mchanga au udongo.

    beleshi, sepetu, shepe

Matamshi

koleo

/kOlɛO/