Ufafanuzi msingi wa koleza katika Kiswahili

: koleza1koleza2

koleza1

kitenzi elekezi

  • 1

    lipa deni kwa niaba ya mtu adaiwaye.

Matamshi

koleza

/kOlɛza/

Ufafanuzi msingi wa koleza katika Kiswahili

: koleza1koleza2

koleza2

kitenzi elekezi

  • 1

    ongeza chumvi au viungo k.v. pilipili au vitunguu kwenye chakula.

  • 2

    ongeza kuni au mkaa ili moto uwake zaidi.

Matamshi

koleza

/kOlɛza/