Ufafanuzi msingi wa koma katika Kiswahili

: koma1koma2koma3koma4koma5

koma1

nominoPlural koma, Plural makoma

 • 1

  kabuli iaminiwayo na baadhi ya watu kwamba hupatikana kwa kuombwa makaburini au mahali maalumu penye nguvu za kijadi; ikibali ya wahenga kwa vizazi vyao vilivyo hai.

Matamshi

koma

/kOma/

Ufafanuzi msingi wa koma katika Kiswahili

: koma1koma2koma3koma4koma5

koma2

nominoPlural koma, Plural makoma

 • 1

  tunda lenye kokwa ngumu sana na iliyo na uwazi ndani.

  koche

Matamshi

koma

/kOma/

Ufafanuzi msingi wa koma katika Kiswahili

: koma1koma2koma3koma4koma5

koma3

nominoPlural koma, Plural makoma

 • 1

  hali ya mgonjwa kuwa mahututi kutokana na kujeruhiwa vibaya au ugonjwa mkali, kiasi cha kuwa hawezi kula, kuongea au kufurukuta, agh. huwekwa kwa muda fulani kwenye chumba maalumu kumsaidia kupumua na kutibiwa mpaka azindukane.

Asili

Kng

Matamshi

koma

/kOma/

Ufafanuzi msingi wa koma katika Kiswahili

: koma1koma2koma3koma4koma5

koma4

nominoPlural koma, Plural makoma

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  alama katika maandishi (,) inayoashiria kupumzika kidogo au kutenganisha vitu vilivyoorodheshwa.

  mkato

Asili

Kng

Matamshi

koma

/kOma/

Ufafanuzi msingi wa koma katika Kiswahili

: koma1koma2koma3koma4koma5

koma5

kitenzi sielekezi

 • 1

  acha kuendelea kutenda jambo.

  ‘Komaea, komaeka, komaesha’
  hulu, gea, taliki, acha

Matamshi

koma

/kOma/