Ufafanuzi wa komakanga katika Kiswahili

komakanga

nomino

  • 1

    ndege kama kuku au kware anayekaa sana katika misitu yenye miti mikubwa.

Matamshi

komakanga

/kOmakanga/