Ufafanuzi wa komamanga katika Kiswahili

komamanga

nominoPlural makomamanga

  • 1

    tunda lenye tumba nyekundu ndogondogo ndani na ambazo huliwa.

    kudhumani

Matamshi

komamanga

/kOmamanga/