Ufafanuzi wa komanga katika Kiswahili

komanga

kitenzi elekezi

  • 1

    kung’uta, agh. kwa fimbo k.v. mkeka au kirago, ili kutoa vumbi.

Matamshi

komanga

/kOmanga/