Ufafanuzi wa komango katika Kiswahili

komango

nominoPlural makomango

  • 1

    jiwe la mango; jiwe la mviringo litumikalo kusagia vitu; jiwe lolote la mviringo lililo jororo kwa umbo lakini gumu.

    tomo, kurugo

Matamshi

komango

/kOmangɔ/