Ufafanuzi msingi wa kombe katika Kiswahili

: kombe1kombe2kombe3kombe4kombe5

kombe1

nominoPlural makombe, Plural kombe

 • 1

  kitu kilicho na kina kidogo k.v. sahani ya sini.

Matamshi

kombe

/kOmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa kombe katika Kiswahili

: kombe1kombe2kombe3kombe4kombe5

kombe2

nominoPlural makombe, Plural kombe

Kidini
 • 1

  Kidini
  dawa inayotengenezwa kwa kuandika kwa wino wa zafarani baadhi ya aya za Kurani juu ya karatasi na sahani ya sini kisha aya hizo hufutwa kwa maji ambayo hunywewa na mgonjwa.

  ‘Andika kombe’
  ‘Kunywa kombe’

Matamshi

kombe

/kOmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa kombe katika Kiswahili

: kombe1kombe2kombe3kombe4kombe5

kombe3

nominoPlural makombe, Plural kombe

 • 1

  kome wa pwani mwenye nyumba ngumu.

  chaza

Matamshi

kombe

/kOmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa kombe katika Kiswahili

: kombe1kombe2kombe3kombe4kombe5

kombe4

nominoPlural makombe, Plural kombe

 • 1

  mmea unaotambaa ambao utomvu wake ni sumu inayopakwa katika kigumba cha mshale.

Matamshi

kombe

/kOmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa kombe katika Kiswahili

: kombe1kombe2kombe3kombe4kombe5

kombe5

nominoPlural makombe, Plural kombe

 • 1

  chakula maalumu anachokula bwana harusi agh. na wapambe wake siku ya harusi.

Matamshi

kombe

/kOmbɛ/