Ufafanuzi wa kombeo katika Kiswahili

kombeo

nominoPlural makombeo

  • 1

    chombo kinachosukwa kwa chane za miyaa, ngozi au kamba kinachotumiwa kurushia mawe.

    kumbwewe, teo

Matamshi

kombeo

/kOmbɛwO/