Ufafanuzi wa komboa katika Kiswahili

komboa, gomboa

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu aliyekuwa amefungwa au aliye katika unyonge, udhalimu au kutawaliwa awe huru.

  • 2

    lipa deni ili mtu achukue kitu alichoweka rahani.

    feleti