Ufafanuzi msingi wa kombora katika Kiswahili

: kombora1kombora2

kombora1

nominoPlural makombora

  • 1

    bomu linalofyatuliwa na mizinga.

    bomu

Matamshi

kombora

/kOmbOra/

Ufafanuzi msingi wa kombora katika Kiswahili

: kombora1kombora2

kombora2

nominoPlural makombora

  • 1

    mpira uliopigwa kwa nguvu nyingi na kwenda kwa kasi sana hata kuwa vigumu kuuzuia.

    ‘Adamu aliachia kombora kali ambalo liligonga mwamba’

Matamshi

kombora

/kOmbOra/