Ufafanuzi wa komea katika Kiswahili

komea

kitenzi elekezi

  • 1

    funga sana; tia komeo.

    ‘Komea mlango’
    shindilia

Matamshi

komea

/kOmɛja/