Ufafanuzi msingi wa komoa katika Kiswahili

: komoa1komoa2komoa3

komoa1

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~za

 • 1

  fungua komeo.

Matamshi

komoa

/kOmOwa/

Ufafanuzi msingi wa komoa katika Kiswahili

: komoa1komoa2komoa3

komoa2

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~za

 • 1

  fedhehesha au shikisha mtu adabu.

  heleleza

 • 2

  fanyia ubaya.

Matamshi

komoa

/kOmOwa/

Ufafanuzi msingi wa komoa katika Kiswahili

: komoa1komoa2komoa3

komoa3

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~za

 • 1

  zindua mtu kutoka katika hali ya maruweruwe ya ugonjwa au pepo.

 • 2

  chomoa

Matamshi

komoa

/kOmOwa/